![]() |
CHATO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES AND TECHNOLOGY |
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
1.Bofya new applicant kama hujajisajili/kama umejisajili bonyeza login kisha jaza taarifa zako.
kama umesahau password bonyeza forget password kisha jaza namba yako ya simu utapata ujumbe wa meseji ukiwa na password yako.
2.Ikiwa unahitaji msaada ponyeza ask help,kisha tuma ujumbe kuonesha nini usaidiwe
3.Gharama ya Application ni 30,000/= ambayo utailipa punde tu utakapo anza usajili,bila malipo hakuna maombi yatakayofanikiwa
4.Kumbuka Email(baruapepe)/namba ya simu na password kwakuwa utavitumia siku unapotaka kujua kama umechaguliwa
NOTE:Kumbuka ku Submit application, baada ya taarifa zako zote kukamilika.
KARIBU SANA UJIUNGE NASI Bofya kurudi kwenye tovuti
*****************************************