NYAMWEZI TEACHERS’ COLLEGE |
How to apply?
1. If this is your first time click APPLY to start your application
2. If you are already registered please click Here
3. Fill the online application form then You will have to pay a non-refundable application fee of Tshs. 10,000/=
Remember your Email and password you set for future login, when you come back to check application status.
NYAMWEZI TEACHERS COLLEGE
Mkuu wa chuo cha ualimu Nyamwezi kwa kushirikiana na chuo cha tabora
polytechnic vilivyopo Tabora mjini anakutangazia nafasi za masomo katika kozi
zifuatazo:
DIPLOMA MAALUMU YA UALIMU ELIMU YA MSINGI
Vigezo:
1. Mhitimu wa kidato cha nne mwenye ufaulu wa kuanzia division
1-3 asikose alama C kwenye masomo mawili ya sayansi
DIPLOMA YA UALIMU WA ELIMU YA MSINGI.
Vigezo:
1. Mhitimu wa kidato cha sita mwenye ufaulu wa angalau
Division III katika mchepuo wowote Au
2. Mhitimu wa ualimu Daraja la III “A”
DIPLOMA YA UALIMU ELIMU YA AWALI YAANI (EARLY CHILDHOOD
CARE AND EDUCATION).
Vigezo:
1. Mhitimu wa kidato cha nne mwenye ufaulu Division 1-4 na
Angalau alama D 4 au zaidi.
DIPLOMA YA UONGOZI NA USIMAMIZI KATIKA ELIMU YAANI
(EDUCATION MANAGEMENT AND ADMINISTRATION)DEMA
Vigezo:
1. Mhitimu wa Ualimu Daraja la III “A”
2. Mhitimu wa kidato cha sita mwenye ufaulu wa angalau somo
moja
Kumbuka chuo cha ualimu nyamwezi ni chuo pendwa na chenye mazingira tulivu
ya kujisomea Ili kufanya maombi AU namna ya kujiunga tembelea tovuti yetu ya www.nyamweziteachers.ac.tz
Au tupigie simu nambari; 0782 366 331 / 0749 211 311
Nyote mnakaribishwa Nyamwezi Teachers Colllege Tabora mjini.