NYAMWEZI TEACHERS’ COLLEGE

S/N Program Name Category
1

STASHAHADA(DIPLOMA) YA UALIMU ELIMU YA MSINGI

Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita(VI) na ufaulu usiopungua kiwango cha daraja la III (Division III) isiyopungua Principle Pass mbili (2) na Mwombaji aje na Cheti/Vyeti halisi au Result slip kama vyeti havijawa tayari. MUDA WA MASOMO: Miaka miwili (2) tu
College - Diploma
2

STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA MSINGI (ELIMU MAALUMU)

Mwombaji awe amehitimu kidato cha Nne (IV) na Kupata Ufaulu kuanzia Division 1-3. Asikose alama C kwenye masomo mawili ya sayansi
College - Diploma
FirstPrev Page 1 of 1  NextLast